NASA watengeneza ndege yenye Kasi kuliko Concorde

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,455
Reaction score
1,621
Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde.

Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London kwa kutumia muda wa dakika 90.

Concorde ilitumia saa matatu wakati wa uhai wake, ndege za kawaida za abiria husafiri kwa masaa yasiyopungua 8 kwa safari hiyo New York mpaka London.

Ndege hiyo X-59 ipo tayari kwa ajili ya majaribio.

230825065605-01-nasa-quesst-aircraft.jpg
 
View attachment 2729794
Wenzetu hawalali.. Mimi ndo naamka hapa sasa hivi na bado na uchovu [emoji23][emoji23] nawaza siku ya leo naimaliza vipi..
 
Ni kweli hawa watu Huwa hawalazi akili zao.
Sio mchezo kutoka New York to London (5,585 km= 3,470 Miles) afu hii ndege inatumia saa moja na nusu tu kufika ni speed kubwa inatumia....
 
Hiyo ni speed inayozidi speed ya sauti,ni noma.
 
Jamani sio kilometers 5 msichanganye ni kilometers 5500
 
Back
Top Bottom