Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Wenzetu hawalali.. Mimi ndo naamka hapa sasa hivi na bado na uchovu [emoji23][emoji23] nawaza siku ya leo naimaliza vipi..Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde.
Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London kwa kutumia muda wa dakika 90.
Concorde ilitumia saa matatu wakati wa uhai wake, ndege za kawaida za abiria husafiri kwa masaa yasiyopungua 8 kwa safari hiyo New York mpaka London.
Ndege hiyo X-59 ipo tayari kwa ajili ya majaribio.
View attachment 2729794
Ni kweli hawa watu Huwa hawalazi akili zao.Wenzetu hawalali.. Mimi ndo naamka hapa sasa hivi na bado na uchovu [emoji23][emoji23] nawaza siku ya leo naimaliza vipi..
Sio mchezo kutoka New York to London (5,585 km= 3,470 Miles) afu hii ndege inatumia saa moja na nusu tu kufika ni speed kubwa inatumia....Ni kweli hawa watu Huwa hawalazi akili zao.
Hiyo ni speed inayozidi speed ya sauti,ni noma.Sio mchezo kutoka New York to London (5,585 km= 3,470 Miles) afu hii ndege inatumia saa moja na nusu tu kufika ni speed kubwa inatumia....
Ndiyo hizo mkuuJamani sio kilometers 5 msichanganye ni kilometers 5500