Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

mawazo mgando. ina maana kila unapomuona msichana mzuri mawazo yako yanakupeleka huko tu?
 
Anza kwa kumwambia 'mambo' hakikisha anakujibu poa au fresh. Huo utakuwa ni mwanzo mzuri
 
We umejuaje ilhali Safari ni ya kesho. Huenda alikuwa anamkatia mtu ticket!
 
Inaonekana wewe uko usingizini unaota, ukiamka utatapika sana. Unatoka dar kwenda mwanza kesho, umekata ticket siti moja na manzi. sasa hiyo siti moja mtakaa kwa zamu au.
Kwa alie elewa aje atafsiri kwa kiswahili huu uzi sijui ni fumbo au. LAKINI SAWA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…