Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

Anza na salamu,then muulize kama angependa kukaa dirishani,then muache jidai umepumzika unasinzia si unaamka alfajir sana?then wakija wauza kitu chochote akitaka kununua unamnunulia,mkifika sehemu ya kula sijui kibaigwa ingia mfukoni mnunulie breakfast,then lunch singida mnunulie,then ukianza kushuka sekenke anza story za hapa na pale na utambulisho, igunga story zichachamae,bahatisha kumuuliza kama atapokelewa au anaenda mwenyewe na anaenda mitaa ipi maan mtafika usiku,ukifika mpeleke na tax hadi anapokwenda,akikaribia kushuka unamuomba namba zakekama analala guest laleni guest moja lakini mlipie chumba,Then ogen mtoke mkale nyama choma pale pale mitaa ya nyrgrzi au budzuruga,then unamrudisha chumban unamtakia usiku mwema mnalala,asubuhi chai then unampeleka kwao kama anaenda bunda au tarime unamsindikiza stand nakuomba namba zake za simu.huko mbele utajua ukishapayta hizo namba!Lazima u act kama mtanashati!
 
Jiandae kulivaa jini sio kila abiria ni binadamu wa kawaida
 
Hahahahaha!!! Inaonekana we mzoefu sana wa haya mambo, sawa nitatumia mbinu hizo mkuu
 
jamaa anataka kumla hiyo kesho
 
Muhadithie story za mkuu The bold utamla kirahisi sana. Hasa vipepeo weusi ile sehemu ya mapenzi mubashara. Epsode 5 au 6 kama sikosei.
 
Na wewe ulitakiwa kuwa mmoja wa wale walioitwa Jana kwenda kuripoti kwa kamanda Leo.Hicho kichwa kimajaa vumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…