Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

Hapa mdau alikuwa anatoa taarifa kuwa anaenda Mwanza ila atuambie basi gani atapanda ili tukisikia limekula kona mbaya tujue na mdau wetu alikuwepo
 
Sasa hapo si ataniona mwenda wa zimu?
Ha ha ha haaaa,, wewe jaribu tu bahati yako anaweza kukuelewa! Natumaini sasa hivi mnaitafuta Manyoni, hivyo siyo mbaya mpaka mfike SHY atakuwa amekuelewa, hapo unamvutia tu pale Makowa mambo yanaisha!!
 
Huyo binti yangu hata miaka 15 haijatimia mbona mroho hivyo kijana?
 
Unawaza ngono tu, hukumbuki sodoma na gomola walivyoangamizwa, Jehanamu itakuwa inakuita wewe siyo bule. Alafu uanze kujiliza Ooooooh maisha magumu wakati unawaza ngono. Mkumbuke Mungu wako siku za ujana wako maana zinakuja zilizo mbaya zaidi
 
Ww ni wa kukamata na kuweka ndani lazima utakuwa unatumia madawa ya kulevya tu.
 
Mm nakushauri muulize msomaji vitabu vya msiba.msiba alikaa siti karibu Veronika.kilichoendelea ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…