Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

Kwa nini usisafiri na mpenzio, unafikiri yeye yuko single au, nyie ndo mnawapiga vita wanawake wanaochepuka lakini nyie ndo watongozaji wakuu. Acheni unafiki
Mkuu, huyu kasema ye domo zege, hajui aanzeje kutongoza...
Ndo kaja huku kuomba msaada wazinzi wenzie wamsaidie!!!
 
Mwambie umeoteshwa usiku kwamba yeye ndiyo mke bora na chaguo la moyo wako... Kwa hiyo kabla ya kuachana muende mkafanye ya Adam na Hawa...


Umeokoka na unampenda yesu...
 
Trump alisema tunawaza ngono tu
 
Ukitaka uwashike hao nzige vizuri wewe anza kumuliza mwenendo wa serikali ya awamu ya tano akijibu uliza vipi kuhusu wale askari 9 aliowataja Makonda ni kweli wanauza ngada au wanasingiziwa,ongeeni mambo kama hayo sasa wewe unataka kila msichana mzuri umle sasa ni wangapi utawala?

Vuta picha umepangwa siti moja na baba wa makamo unahisi utaongea nae nini ,Mapenzi?.

Ishi kawaida usitake uwe kicheche wewe ni ngono tu kila saa ngono tu,unadhani umekuja duniani kufanga ngono.
 
me: Mambo?

Demu: fresh

Me: Maisha yanasemaje

Demu: Poa tu sijui wewe

Me: Kwangu fresh pia!
ujue nini dada wew ni mtu mzima na mimi ni mtu mzima nisiongee mengi sana kama watoto wadogo, mim huo mzingo nime u mind vipi sasa unasemaje

Demu: wee kaka unasemaje?? Embu rudia ulicho kisema????

Me: Fu..ck you!

Hamna maogezi tena hadi

....Mwanza standi tumeshuka unasepa zako na ma stress mob
 
Wanaume bhn... Ndio maana mkiishia kuumizwa me hua naagiza wine tu.
 
Kama una nuka mdomo funga dirisha Tafadhali . lakini jambo jingine kwa hiyo wewe ndo una macho makali kuliko wengine huko alikotoka? Kua na akili tamaa itakuua
 
Baba zima hujielewi, utabaki hivoivo[emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…