Basi likifika pa kulala awe ameshakuelewa!! Kuna msichana wa aina hiyo kweli!! Usijaribu hataa kumtongoza kwani unapomtongoza mtu uliemwona hapohapo ni picha mbaya kichwani kwake ndo kwanza atakupotezea maana atakuwa anajua ya kichwani kwako.