Nasafiri, waifu kaniwekea kondom kwenye begi

Nasafiri, waifu kaniwekea kondom kwenye begi

Mbona hujauliza kuwa usipozitumia ukirudi itakuwaje...!?
 
Tumia nusu Kwa namna yoyote ile zingine rudi nazo,atakuamini zaidi yeye anajua alichofanya.
Yani wewe mtu kaona Choo ndotoni unamshauri akitumie????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulitakiwa uwe mkali mpaka ashangae kumuonesha weww huko huendi kufata ngonoo hayo maisha ni ya kwenye movie mkuu sasa mkeo anataka mambo ya movie. Japo kiukweli huko kama kweli huwezi kujizuia unaweza okotaa demu but condom ununue mwenyewe sio Akupe.
 
Anaonyesha kujari hataki mangonjwa kuwa mwaminifu Kama mkeo akizudiwa anatumia condom na heshima yake haibanduki milele .

Mpende Sana mkeo huyo Ni wife material trust me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Hadithi Imeshaletwa Jamiiforums.com Miaka Ya Nyuma Unaweza Kupitia Upya Thread Kongwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unauliza hili swali huku suraa umekunjaa balaaa
Sana Yani unamwambia imefika wkt Sasa hatuaminiani sindio bass twende pamoja safari sindio unataka tuishi kuanzia leo maisha haya yeye mwenyewe atajibabaisha
 
Yani wewe mtu kaona Choo ndotoni unamshauri akitumie????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulitakiwa uwe mkali mpaka ashangae kumuonesha weww huko huendi kufata ngonoo hayo maisha ni ya kwenye movie mkuu sasa mkeo anataka mambo ya movie. Japo kiukweli huko kama kweli huwezi kujizuia unaweza okotaa demu but condom ununue mwenyewe sio Akupe.
ukizikataa condom zamkeo ukirudi utakuta tayari used.
 
Swali ni je kaipata wapi?
Kainunua akatumia ikabaki?
Kaamua akulinde?
Kakuruhusu uzini?
Ukiona mke anakuruhusu jua na yy anafanya japo mshukuru Mungu kwakuwa anatumia condom.
 
Anajua mume wake ulivyo haujatulia mkuu anataka ujikinge
 
Najiuliza je nizitumie uko niendako au nirudi nazo?

Je nikizitumia itakuwaje nitaporudi?

Msaada tafadhali.
Tumia ila wakati unarudi nunua kama hizo hizo na idadi pamoja na brand ziwe sawa .au unaweza usitumie kisha ukiwa kwenye uzinzi wako nunua mpya .
ila jua tu ya kwamba unachokifanya na wife wako anafanyiwa tena mara mbili yake .
 
Back
Top Bottom