Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Yani wewe mtu kaona Choo ndotoni unamshauri akitumie????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulitakiwa uwe mkali mpaka ashangae kumuonesha weww huko huendi kufata ngonoo hayo maisha ni ya kwenye movie mkuu sasa mkeo anataka mambo ya movie. Japo kiukweli huko kama kweli huwezi kujizuia unaweza okotaa demu but condom ununue mwenyewe sio Akupe.Tumia nusu Kwa namna yoyote ile zingine rudi nazo,atakuamini zaidi yeye anajua alichofanya.
inashangaza kidogo hahahaMuasisi wa "kula tunda kimasihara" kageuka mshauri wa uaminifu katika ndoa kmmmke 😂😂😂
Me nimeweka utani pembeni namchana mwana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]inashangaza kidogo hahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unauliza hili swali huku suraa umekunjaa balaaaUngemuliza swali dogo mm nanionaje Malaya Sana ama unaniletea zarau
Sana Yani unamwambia imefika wkt Sasa hatuaminiani sindio bass twende pamoja safari sindio unataka tuishi kuanzia leo maisha haya yeye mwenyewe atajibabaisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unauliza hili swali huku suraa umekunjaa balaaa
ukizikataa condom zamkeo ukirudi utakuta tayari used.Yani wewe mtu kaona Choo ndotoni unamshauri akitumie????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulitakiwa uwe mkali mpaka ashangae kumuonesha weww huko huendi kufata ngonoo hayo maisha ni ya kwenye movie mkuu sasa mkeo anataka mambo ya movie. Japo kiukweli huko kama kweli huwezi kujizuia unaweza okotaa demu but condom ununue mwenyewe sio Akupe.
Tumia ila wakati unarudi nunua kama hizo hizo na idadi pamoja na brand ziwe sawa .au unaweza usitumie kisha ukiwa kwenye uzinzi wako nunua mpya .Najiuliza je nizitumie uko niendako au nirudi nazo?
Je nikizitumia itakuwaje nitaporudi?
Msaada tafadhali.