N Nassor Mussa New Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4 Reaction score 4 Sep 17, 2024 #1 Habali ndugu zangu, Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika. Kama unaitaji maharage na upo maeneo hayo nicheki nikuletee mzigo mpaka dukani. 0629117470
Habali ndugu zangu, Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika. Kama unaitaji maharage na upo maeneo hayo nicheki nikuletee mzigo mpaka dukani. 0629117470
Brightburn JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 348 Reaction score 688 Sep 17, 2024 #2 Maharage makavu ya njano unauzaje jumla kwa kilo, na unaleta dar kuanzia kilo ngapi?