Nasaka ajira wakuu- msaada tafadhali

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
390
Reaction score
165
nina Degree ya sheria kutoka univ. ya Tumaini 2008 pamoja na Post Graduate Diploma in Legal Practice 2010 inayotolewa na Law School of Tanzania. Msaada wenu wanajamii mtaani ni kugumu.
 
Nakushukuru kwa kuonesha moyo wa kunisaidia ndugu, nimejaribu kufungua hii site uliyonipa (www.naombakazi.com) haifunguki, msaada tafadhali.
 
Si mumeambiwa na jk kuwa kaanzisha ajira zaidi ya million moja na kura mkampa dahhh watz tunadanganyika? Unaweza pata habari za ajila angalia brightmonday.com.peleka cv yako manpower,rederrecruitment ingawa hawa wasanii sana wanakufanyisha interview kibao kazi hakuna. Koma kijana maisha ni safari ndefu usikate tamaa kuwa na imani kuwa siku yako bado ikifika utapata.
 
nina Degree ya sheria kutoka univ. ya Tumaini 2008 pamoja na Post Graduate Diploma in Legal Practice 2010 inayotolewa na Law School of Tanzania. Msaada wenu wanajamii mtaani ni kugumu.
Weka number ya simu au email address yako, it will be easy to communicate.
 
Asanteni wanajamvi kwa msaada wenu ingawa bado sijafanikiwa lakini naamini siku isiyo na jina inakuja ambayo nami nitakuwa enrolled kwenye hizi TGS. hkiziru amenipa ushauri wa kuweka namba yangu ya simu nimeona ni ushauri mzuri.....namba yangu ni 0763 901 445/ 0718 009 307. Tusaidiane wanandugu endapo mtaona au kuskia post yoyote tutaarifiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…