Nasaka mke mwema

Nasaka mke mwema

FBS90

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
18
Reaction score
16
Sifa zangu
Miaka 29
Mwajiriwa na nimejiajiri pia
Ni mweupe rangi
Mrefu wa kati
Nipo kanda ya ziwa

Awe na sifa
Miaka 20-30
Mwenye kazi au asiwe na kazi Sawa
Kimo chochote
Rangi yoyote
Awe mwelewa na
Asiwe wa kisasa zaidi.

KARIBUNI SANA PM WENYE UHITAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom