Nasaka mume

raha ya kuwa mwanamke kupiga mizinga bwana.saluni ,pamba ,window shoping kawaida mbona acha ubahili wewe . Wewe si nitakupa mapenzi ya kweli,heshima ,full matunzo yaani hata iyo mizinga utaona si kitu

vimzinga vidogo dogo havikwepeki ila ile ya 10 m sijui 5m kila saa siitaki kuisikia . shoping na saluni si ipo kwenye bajeti mpnz ? ila hiyo mingine mtanisamehe . anunue kwa chapaa yake mwenyewe kwani anafanyia nini pesa zake ?
 
duh...kweli yamebaki manungayembe yanahangaika

We wapi wewe? Huyo uliyemweka ndani umempata humuhumu JF,na bado vimada na vihawara vyako unavipata humuhumu. Ms*@?*@(msonyo mkali)
PIGA KIMYA.
 
hahahahahaha,jamani
 
Yangu inaweza Kutengua kizazi,usizae maisha ngoja nije Pm
 
No! Mimi cna shimo kubwa ila ninapo du na size kubwakubwa,dah! Yani hata kazini huwa nakubali nisiende kwa raha zake.
Ila kiukweli cna shimo la kiviiile.
natumia simu nimependa hapa,like
 
vimzinga vidogo dogo havikwepeki ila ile ya 10 m sijui 5m kila saa siitaki kuisikia . Shoping na saluni si ipo kwenye bajeti mpnz ? Ila hiyo mingine mtanisamehe . Anunue kwa chapaa yake mwenyewe kwani anafanyia nini pesa zake ?
acha ubahili wewe utakubatia walet hadi lini toa hela hizo utaumia wewe
 
raha ya kuwa mwanamke kupiga mizinga bwana.saluni ,pamba ,window shoping kawaida mbona acha ubahili wewe . Wewe si nitakupa mapenzi ya kweli,heshima ,full matunzo yaani hata iyo mizinga utaona si kitu
kama analeta Pozi mimi nipo tayali bibie
 
acha ubahili wewe utakubatia walet hadi lini toa hela hizo utaumia wewe

hahahahaha wanawake wanapenda mteremko sana anyway labda unipe vitu adimu sana wallet itafunguka yenyewe.
 
hahahahaha wanawake wanapenda mteremko sana anyway labda unipe vitu adimu sana wallet itafunguka yenyewe.
wallah mwanamme bahili hapewi mapenzi ya kweli
 
dogo hii ni injini kubwa utarudi kwenu bila hata ya malapa . Mzinga mdogo kwa smile ni 20m utaweza ? Utauza shamba la urithi wewe .
acha majungu kaka ,acha kunipeperushia ndege wangu
 
acha majungu kaka ,acha kunipeperushia ndege wangu

mwanafunzi huyu ana hela zaidi ya school fees njoo kwa dady hapa niangalie cha kufanya . unataka ka vitz, ist , rav 4 new model ama BMW X 6 ?
 
dogo hii ni injini kubwa utarudi kwenu bila hata ya malapa . mzinga mdogo kwa smile ni 20m utaweza ? utauza shamba la urithi wewe .
sasa wewe Kijana 20m unaziona nyingi wakati mwenzako nikienda pale Game zinaishia kwenye Menu na Washikaji,pole ngoja nimchukuwe mtoto Smile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…