PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 832
- 447
Watanzania, Vijana wenzangu,
wazazi, wadogo zangu,kaka zangu,
dada zangu, tuache mizaha, tuache
siasa, tuache kila kitu walau hata
kwa sekunde tano,tujiulize nchi hii
inakwenda wapi? tupo katika hali
mbaya sana, ni wajibu wako, ni
wajibu wangu kuleta mabadiliko.
matokeo haya ya vijana wetu, kwa
sasa unaweza ona kama hayakuhusu,
lakini mwisho wa haya yote ni
anguko kuu, kwa nini tusianze sasa,
kwa nini tusiseme basi, kwa nini
tuendelee kutengeneza vijana
wasiojiweza kifikra kwa namna hii,
kama tunashindwa kubadilisha na
kusimamia mambo madogo ya
namna hii, tutawezaje kusimamia
yale yaliyo makubwa. Kutokua na
elimu bora kwa vijana ni cancer,
inapoanza huwezi kusikia maumivu,
lakini siku zote mwisho wa cancer ni
kifo, Tunaweza kubadilisha mwanzo
huu mbaya,kama wewe na mimi
tutaona umuhimu wa kufanya hivyo
naandika mambo haya kwa uchungu
sana, na najua No One cares. But if
you read this, i want you to start
caring. kwa matokeo haya, na
mengine mengi yanayotokea ndani
ya nchi hii, na kwa level ya ufikiri
na utendaji uliopo sasa, kama
hatutachukua hatua,tutachelewa
sana
mabadiliko ni wewe, ni mimi.
wazazi, wadogo zangu,kaka zangu,
dada zangu, tuache mizaha, tuache
siasa, tuache kila kitu walau hata
kwa sekunde tano,tujiulize nchi hii
inakwenda wapi? tupo katika hali
mbaya sana, ni wajibu wako, ni
wajibu wangu kuleta mabadiliko.
matokeo haya ya vijana wetu, kwa
sasa unaweza ona kama hayakuhusu,
lakini mwisho wa haya yote ni
anguko kuu, kwa nini tusianze sasa,
kwa nini tusiseme basi, kwa nini
tuendelee kutengeneza vijana
wasiojiweza kifikra kwa namna hii,
kama tunashindwa kubadilisha na
kusimamia mambo madogo ya
namna hii, tutawezaje kusimamia
yale yaliyo makubwa. Kutokua na
elimu bora kwa vijana ni cancer,
inapoanza huwezi kusikia maumivu,
lakini siku zote mwisho wa cancer ni
kifo, Tunaweza kubadilisha mwanzo
huu mbaya,kama wewe na mimi
tutaona umuhimu wa kufanya hivyo
naandika mambo haya kwa uchungu
sana, na najua No One cares. But if
you read this, i want you to start
caring. kwa matokeo haya, na
mengine mengi yanayotokea ndani
ya nchi hii, na kwa level ya ufikiri
na utendaji uliopo sasa, kama
hatutachukua hatua,tutachelewa
sana
mabadiliko ni wewe, ni mimi.