Nash mc afanikiwa kufanya ziara Ujerumani, Hip Hop Inalipa!!!!!

Hivi ni mhaya au mzaramo?
nijuavyo nimzaramo"" labda iwe anapande mbili" toka kwa baba na mama"" nilikuwa nakutana nae sana M.lab wakati ule ilivyokuwa bado ipo pale kinondoni Biafra....na studio za tattoo m'nyamala kabla hazijaa hamia masaki...hapo ndipo nilipowezaga kuyajua hayo machache yanayo muhusu
 
Nash mc ana uwezo sana hasa kwenye suala la kiswahili na fasihi na yupo kiuhalisia hayupo tayr kuipotosha jamii ili kaz zake ziuzke big up nash mc
 
Duu!!!! Tattoo records kitambo Sana, hivi palla bado yupo????? Na yule Dogo Abby yupo?? Sijaibukaga Tattoo tangu 2012 sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…