Nashabikia Arsenal na Yanga sasa nakufa.

Nashabikia Arsenal na Yanga sasa nakufa.

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Sasa nakufa kwa hofu na presha na sina Raha kabisa kwenye ligi hizi,du nipeni pole coz hakuna kule ninaunafuu.
 
imma.1 pole sana!
Mkuu dushelele, hilo neno unalomalizia nalo kwenye post zako lina maana gani?!
 
Emma. Polesana mwanangu, mshikaji wangu, nilikupiga nane lakini mimi sichoki kupokea wageni kwa7bu kwe2 niwakarimu sana karibu chama kubwa kila msimu 2na hesabu vikombe mwanangu, karibu MAN U,
 
Back
Top Bottom