They had good pass of math at o level
ndetichia and the answer is ..Book keeping is the art of recording business transactions. Lakini nachelea, chuoni mnafundishwa Accountancy na siyo book keeping. Ni kosa kubwa sana kinafanyika Tanzania kwa kufundisha mtu Accountancy wakati hajui book keeping kitakachofuata Bachelors na ADA ili mpate kazi itabidi kwa msome CPA ili muive.mbona hicho kitu kipo tokea kitambo sababu wote mnaanza what is book-keeping kwa hiyo usiogope mtu wangu..
Sio wote.