Kuna watu wako kama misukule wanapelekwapelekwa hawajui hata wanachokitetea!!! Wanatumika na watu wachache sana ambao kwa uhalisia wamekuwa wananufaika wao na watoto wao kuendelea kufisidi nchi hii.... Sasa wanaona kabisa serikali 3 ndiyo utakuwa mwisho wao kutunyonya,,,
hakuna muungano wa nchi mbili serikali mbili utakaobaki salama... Ama serikali moja au tatu!,,,