Kowero Fredy
Member
- Apr 30, 2011
- 33
- 2
Nashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE MUNGU ATUUMBIE MAPEPO YA KUTUSUMBUA WAKATI KWA WATU WA IMANI WANATAMBUA KUWA HAWA WANAWAKE NI KAMA WASAIDIZI KWETU?
Jamani saaly mimi niliishakuita hivyo umesahau kuwa huwa nakuita sweet potato, sweet banana lolwaambie mwaya,wakome kutumia majina ya kidhalilishaji
Kumbe nini??polee kumbeeeee
Nashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE MUNGU ATUUMBIE MAPEPO YA KUTUSUMBUA WAKATI KWA WATU WA IMANI WANATAMBUA KUWA HAWA WANAWAKE NI KAMA WASAIDIZI KWETU?
We shangaa tu. Wanayofanya ni upepo we acha tu. Nenda kule Joly na kwingineko kama hutarudi hapa na kauli mbiu nyingine. Bahati mbaya zaidi wanalazimisha wapewe mahela hata pale wasipostahili. Si mapepo hayo au? Hebu fikiria mdada anatafuta namba yako kwa udi na uvumba then anakupigia eti wrong namba ,halafu anaanza kutongoza mdogo mdogo , na baadae kidogo tu anaomba vocha , then hela ya saloon, then , then ,then invoice zinafuata tuuuu. Kwetu huitwa vicheche, mboga mboga . etc

</p></p>We shangaa tu. Wanayofanya ni upepo we acha tu. Nenda kule Joly na kwingineko kama hutarudi hapa na kauli mbiu nyingine. Bahati mbaya zaidi wanalazimisha wapewe mahela hata pale wasipostahili. Si mapepo hayo au? Hebu fikiria mdada anatafuta namba yako kwa udi na uvumba then anakupigia eti wrong namba ,halafu anaanza kutongoza mdogo mdogo , na baadae kidogo tu anaomba vocha , then hela ya saloon, then , then ,then invoice zinafuata tuuuu. Kwetu huitwa vicheche, mboga mboga . etc
hata wanawake wana majina mengi tu buzi, shefa, kislope bwegenazi kwa hiyo ngoma drooNashangaa sana kwa nini wanaume tumefika hatua ya kuwaita wasichana ni mapepo,viburudisho,na majina mengi mno ya ajabu.sababu kubwa ni kuwa tulishawai kutendwa hapo nyuma.swal langu ni ili IWEJE MUNGU ATUUMBIE MAPEPO YA KUTUSUMBUA WAKATI KWA WATU WA IMANI WANATAMBUA KUWA HAWA WANAWAKE NI KAMA WASAIDIZI KWETU?
hata wanawake wana majina mengi tu buzi, shefa, kislope bwegenazi kwa hiyo ngoma droo