Nashauri atafutwe Kiongozi wa kutolewa kafara katika hili.

Nashauri atafutwe Kiongozi wa kutolewa kafara katika hili.

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
3,151
Reaction score
6,261
Sina shaka kuwa haya maamuzi ya gemu kusogezwa mbele hayajamuliwa na waziri pekee naamini kuna baraka za mhimili uliojichimbia,

Hivyo basi Unrest huwa sparked kwa njia nyingi sana leo tunachukulia poa Yanga kugoma na kusepa ila tayari tension kubwa imekuwa created na wananchi wameona kuwa kumbe kugoma ni possible kabisa yani haswa viongozi ilipaswa wakemewa haraka na waamue kukaa uwanjani kitendo cha kuachwa ni hatari sana mana kuna ujumbe wameutoa kwa watanzania,

Hii migemo haitaishia kwenye michezo itaenda mbali tu kama isipokemewa ipasavyo nashauri ili kuneutralize situation atafutwe mtu wa juu tu then atolewe kafara kwa kutumbuliwa.
 
Pendekeza Nani wa kutumbuliwa....Mama Huwa anapitia maoni mtandaoni!!?
 
"Nawaambieni ipo siku mtanikumbuka, Si kwa mabaya bali kwa mema!"
 
Sina shaka kuwa haya maamuzi ya gemu kusogezwa mbele hayajamuliwa na waziri pekee naamini kuna baraka za mhimili uliojichimbia, Ivo basi Unrest huwa sparked kwa njia nyingi sana leo tunachukulia poa Yanga kugoma na kusepa ila tayari tension kubwa imekuwa created na wananchi wameona kuwa kumbe kugoma ni possible kabisa yani haswa viongozi ilipaswa wakemewa haraka na waamue kukaa uwanjani kitendo cha kuachwa ni hatari sana mana kuna ujumbe wameutoa kwa watanzania, Hii migemo haitaishia kwenye michezo itaenda mbali tu kama isipokemewa ipasavyo nashauri ili kuneutralize situation atafutwe mtu wa juu tu then atolewe kafara kwa kutumbuliwa.


Ujinga wa hali ya juu, kusimama na kanuni ni kugoma? Naona mnataka kufanya mazoea kuvuruga Kanuni?
 
Mwenye ile clip ya late Pombe akiongea kuhusu timu ya taifa akilete hapa, maana kuna watu walipigwa mkwara mzito...
 
Back
Top Bottom