Sina shaka kuwa haya maamuzi ya gemu kusogezwa mbele hayajamuliwa na waziri pekee naamini kuna baraka za mhimili uliojichimbia, Ivo basi Unrest huwa sparked kwa njia nyingi sana leo tunachukulia poa Yanga kugoma na kusepa ila tayari tension kubwa imekuwa created na wananchi wameona kuwa kumbe kugoma ni possible kabisa yani haswa viongozi ilipaswa wakemewa haraka na waamue kukaa uwanjani kitendo cha kuachwa ni hatari sana mana kuna ujumbe wameutoa kwa watanzania, Hii migemo haitaishia kwenye michezo itaenda mbali tu kama isipokemewa ipasavyo nashauri ili kuneutralize situation atafutwe mtu wa juu tu then atolewe kafara kwa kutumbuliwa.