Nashauri CCM iteua mwandishi kutoka kila chombo wa kutembea naye

Idda Mushi atalipa gharama za hujuma
 
Idda Mushi atalipa gharama za hujuma
unadai kahujumu, kahujumu vipi wakati kampeni ndio kwanza zinaanza na hazina watu wengi? Halafu idda ni chadema au chaumma mjuba? Unachanganya mambo
 
Sikiliza mjuba, kwani nyie wakati mnaanza kampeni zenu hamkupanga timu yenu ya waandishi wa habari wa kuzunguka na mgombea wenu nchi nzima kufanya propaganda? Halafu mind kuwa media zote nchi hii mmezitia mfukoni kwenu zinaripoti mambo yenu tu, why umlalamikie idda wakati chombo anachofanyia kazi kiko mfukoni kwenu?
 
jibu mada yangu ya uzi wako kusema mdude kaachana na siasa wewe tobo la mamayako mzazi aliyekuzaa
 
Kwa nini unatokwa povu kwa jinsi idda alivyoripoti kampeni wakati ccm imekamata meidia zote za nchi hii?
 
unadai kahujumu, kahujumu vipi wakati kampeni ndio kwanza zinaanza na hazina watu wengi? Halafu idda ni chadema au chaumma mjuba? Unachanganya mambo
Chauma ni Devota Minja, usitumie kichwa kubebea mizigo, kitumie kufikiri
 
Nashauri hivyo ITV na wengine kuonyesha sehemu hizo na usombwaji watu ...bila hivyo watarajie watanzamaji hawatakuwepo
 
Inatumika nguvu kubwa sana kuwaminisha watu kuwa hiki chama kinakubalika. Jana Abood alitoa mabasi yake kuwapeleka watu kwenye mkutano. Huku mtaan kwetu walitoka wachache sana. Wengi ni wale mwanaccm na wale buku 5000. Kwahiyo walichokionesha ITV ndio ukweli wenyewe

Wale akina mama ambao miaka yote wanajaa kwenye mkutano Sasa hivi life imewabana. Madeni ya vikoba na marejesho imewakalia kooni, hawapo tayar kupotezewa muda. Hao ambao mnawaona huko ni wale ambao walitembelewa na balozi siku moja kabla ya mkutano.
 
Labda nikushauri tu mjuba usiwe na stress kampeni zenu hazina upinzani, zitakuwa ni safari za utalii tu kuzunguka nchi nzima muangalie mandhari na maumbile ya nchi. Ni ziara za kula bata tu, upinzani haupo, hata msipotembelea majimbo yote mtajishindia bwerere, usilalamikie waandishi kwa angle watakavyo ripoti ziara za kutembelea majimbo. Mtaonekana ni wazembe na hamkutoa semina elekezi kwa waandishi wenu wa kampeni na kitengo cha propaganda cha chama chenu ni kibovu
 
Kinembe si kuna Tbccm ,Uhuru media ,Chanel Ten na star TV ambao ni 👇
 

Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    66.6 KB · Views: 20
Ni AIBU pamoja na kusomba watu na malori lakini Bado uwanja haujai, ama kweli Chama kimechokwa
 
Nimeuliza ushahidi mkuu, sio maswali
Ramadhan Kailima mkurugenzi wa tume ya uchaguzi kateuliwa na Samia

Pia mwenyekiti wa tume na makamishna watano wa tume wateuliwa na Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…