uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Kwa sababu hiyo app ndio inasababisha simu za iphone zionekane ni mbovu kwa sababu ya kufunguliwa mara kwa mara, kwaajili ya kubadilisha battery unakuta fundi kwa bahati mbaya amekanda mikanda
Na ukijaribu kuangalia iphone matatizo mengi sugu yalianzia baada ya kubadilisha battery,
Pili hiyo battery health ya iphone mara nyingi huwa inadanganya 1 kwa sababu hiyo battery health inawezekana ikawa 80% halafu inakaa chaji sawa na ambayo ipo 99%, na kuna battery inaweza ikawa ina health 100% halafu ukaifungua ndani ukakuta imevimba, na kuna battery original unaweza ukabadilisha leo lakini lakini baada ya mwezi mmoja ikashuka kwa 50%
Cha ajabu unakuta kuna mtu leo hii iphone 15 kuna mtu anahangaika kubadilisha battery na wakati huo samsung s20 utra iliyoka toka miaka mitano nyuma bado bettery inafanya kazi vizuri.
Na ujinga mwingine uliofanywa ni kwamba hiyo battery health ya iphone kuna mashine ya kureset inarudi 100%