Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

Huu bado ni ulimwengu wa tatu
 
haya mambo tumeshaandika sana hapa.

kwazi kwao jwtz kubadilika au kubaki kwenye strategy za kizamani.
 
Kumbebesha mwanajeshi magogo,begi,mtungi wa gesi ni jeshi la kishamba.Pia Ni hatari kwa afya ya mgongo wa mwanajeshi.
Jeshi letu lijikite kwenye tekinolojia,maonesho ya siku ya uhuru yahusishe silaha na vifaa ambavyo jeshi letu litakuwa limetengeneza hayo ndiyo maendeleo na vitu vya kujivunia siyo siku ya Uhuru unaonyesha ndege,silaha na vifaa vilivyotengenezwa na jeshi la China au Ujerumani.
 
Inatisha
 
Watanzania vile wajuaji wa kila kitu.
Ni moja kati ya ulemavu wetu Watanzania. Kila kitu tunajua sisi kisa tunaweza kusoma novels. Jacks of all trades but masters of none sometimes.
Yaani mtu hata kama ni mchonga majeneza, akiwakuta nuclear physicists kwenye mjadala atakaukwa mate kuchangia ili aende nao sambamba tu πŸ˜€πŸ˜€
 
..wanapasua matofali.

..wanavunja nondo.

..halafu kukitokea ajali [ kama ile ya ukerewe] wanashindwa kuokoa wananchi.
 
So you saying Tanzania ina strong army while ina pretend to be weak, wrong assumption so far bro
 
Kirahisi tu eti unampa General Mabeyo kitabu akasome kisa maonyesho ya maigizo acha hizi! Vibweka gizani!πŸ˜€πŸ˜€
 
Kabisa,haimeki sense kujidai kwa silaha za wengine
 
..wanapasua matofali.

..wanavunja nondo.

..halafu kukitokea ajali [ kama ile ya ukerewe] wanashindwa kuokoa wananchi.
Watake radhi mkuu!

Hiyo ni kazi ya Polisi.

Walioibua MV Nyerere iliyozama kati ya Ukerewe na Ukara Septemba 20, 2018 ni nani kama siyo Marine Commandos wa TPDF Navy Division?

Taswira zote kwa hisani ya google






Combatant TPDF Navy servicemen in rescue mission in Ukerewe-Ukara Islands September 20, 2018.


TPDF-Navy-led mission to bring afloat the sunken MV Nyerere September 20, 2018. Chadema walimsusia JPM (joke! joke! joke!)
 
Nilitegemea askari mmoja kubeba maiti nne lakini cha ajabu maiti moja imebebwa na askari wanne
 
Hii ni law number ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…