MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Option #1.
Mchango ni Tsh 5,000/= Utakaa tu Ukumbini na ukipiga Miayo ila Kula utakula kwa Babaako au kwa Mkeo.
Optioy#2.
Mchango ni 15,000/= Ukiwa Ukumbini utapewa Maji Chupa Moja na Bites kadhaa ila wakati wa Kula utaishia tu Kuwashangaa Wenzako.
Option #3.
Mchango ni Tsh 50,000/= ambapo ukiwa Ukumbini utakula tu Sahani Moja ya Chakula yenye Nyama Moja tu, Maji Chupa Moja, Soda Moja na Bia Moja tu.
Option #4.
Mchango ni Tsh 100,000/= ambapo ukiwa Ukumbini utakula na Kunywa vyote vilivyopo tani yako na utaruhusiwa Kumnyanyua Mwanamke yoyote ( HATA Mke wa Mtu ) ili mcheze nae Muziki na pia utaruhusiwa Kuomba hovyo namba za Simu za Wanawake utakaowakuta humo bila Kusumbuliwa na yoyote yule.
Inakera unatoa Mchango mkubwa halafu ukiwa Ukumbini hupati Huduma za Pesa uliyoitoa huku Wahudumu ambao Pesa yako ya Mchango ndiyo imewafanya waje hapo muda wote tu wanakuangalia kwa Jicho la Ukauzu utadhani Unezamia katika hiyo Harusi.
Kuanzia Leo sichangii tena Harusi!!!!!