Nashauri Kambi zote za Jeshi zifungwe Camera Maalum na zisilindwe tu physically na Wanajeshi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo.

Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika.

Kama Mzalendo leo nina hili tu Kwenu.
 
Kamera Tena?huko ulimwengu umeishatoka,sasa tupo kwenye robotics na virtual technology.
Cha muhimu kwanza jeshi liache kuajiri vijana vilaza lichukue vijana wenye division one kutoka kidato Cha sita,na vyuoni wale wenye GPA za juu,sio kupereka vilaza wenye divion three na four
 
Umeona nini? Hutaki tule posho.za kulinda?
 
Ongezea nyama kidogo mkuu may b kuna jambo umeliona
Naamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.
 
Dunia haijaharibika, wewe ndiye akili ndogo uliyeachwa nyuma na akili kubwa.
 
Ni SMI Ilikuwa pale tau kwa sasa sijui ipo pale pale au arusha
Naamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.
 
Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo.

Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika.

Kama Mzalendo leo nina hili tu Kwenu.
Watu ambao hawakupitia mafunzo utawajua tu.
 
Naamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.
Mimi nafahamu kuwa CMI (Chief of Military Intelligence) ni mmoja. Walio chini yake ni Military Intelligence Officers. Sasa hao ma CMI wengi, ni akina nani? Au mimi ndio sielewi kirefu cha CMI?
 
Yaani kwa kutaja tu CMI unaonyesha hakuna unachoelewa
Ninachoelewa tu kuwa Wewe ni Pumbavu sawa? Kama hujui kuwa Idara ya Ujasusi Jeshini ipo chini ya CMI kwanini GENTAMYCINE nipoteze muda wangu na Mwendawazimu Uliyetukuka kama Wewe?
 
Mimi nafahamu kuwa CMI (Chief of Military Intelligence) ni mmoja. Walio chini yake ni Military Intelligence Officers. Sasa hao ma CMI wengi, ni akina nani? Au mimi ndio sielewi kirefu cha CMI?
Kwa Akili zako ( zenu ) Ndogo sijashangaa sana kwa Kushangaa Mimi kusema ( kuitaja ) CMI ila najua wenye Akili Kubwa hata kama CMI ni Cheo cha Mkuu wao ila Kuwajumuisha Wote hapo Logically wanajua kuwa sijakosea kwani nimemjumuisha Yeye na Watendaji wake. Nikiwaita Wapumbavu mnanikasirikia.
 
Kamera Tena?huko ulimwengu umeishatoka,sasa tupo kwenye robotics na virtual technology.
Cha muhimu kwanza jeshi liache kuajiri vijana vilaza lichukue vijana wenye division one kutoka kidato Cha sita,na vyuoni wale wenye GPA za juu,sio kupereka vilaza wenye divion three na four

hao vijana wenye degree waanzie mtaani kwanza kufanya tafiti zenye tija,sio kushinda wanalalamikia ajira tu 24 hrs.

wewe na IT yako unashindwa hata kurekebisha PC yenye shida,unasubiri mpaka uajiriwe na jeshi ndipo ufanye kitu gani hasa!!!!
hivyo ndivyo vijana wasio wa hovyo hovyo dunia ya kwanza huko hulisaidia jeshi na nchi zao kutatua changamoto mbali mbali.
 
Ninachoelewa tu kuwa Wewe ni Pumbavu sawa? Kama hujui kuwa Idara ya Ujasusi Jeshini ipo chini ya CMI kwanini GENTAMYCINE nipoteze muda wangu na Mwendawazimu Uliyetukuka kama Wewe?
Yaani wewe ni kiazi tu huna unachojua hapo hakuna kitu kinaitwa CMI sababu hujui na mimi sikwambii chochote ndio maana unakuja na maelekezo yako kama unauza hizo CCTV Camera usitegemee waje kuchukua kwako yaani ulivyokua fala unaonyesha umuhimu wa CCTV Camera ukitemea waje kuchukua kwako . Afu kwa akili yako ya darasa la saba b mambo ya taasisi nyeti hivi unategemea wapate ushauri toka kwako ushauri rudi kwenu mbwidu kajifunze kwanza
 
Punguza Kwanza hao Funza waliojazana katika huo Ubongo wako sawa? Na kuonyesha kuwa hili ANGALIZO langu limefika penyewe na Uzi huu umeleta Mrejesho nimepata PM ya Kunipongeza kwa OBSERVATION yangu na nimeshukuriwa kwa UZALENDO wangu Uliotukuka.
 
Nilitaka nikueleze kwa kirefu ila sababu ni F.ala nakuacha na ujinga wako huu kukupoza genye umeshauriwa hivyo ila ukweli utabaki wewe ni brenda tu kasage wenzio
 
Back
Top Bottom