GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Oya Ndege JOHN hebu tulia basi Mkuu.Acha shobo na askari wetu yaani Askari wenyewe wanajua kulindana leo hii unataka uwashauri utopolo..kwani Kuna lipi limetokea mpk uanzishe hii maada
Kamera Tena?huko ulimwengu umeishatoka,sasa tupo kwenye robotics na virtual technology.Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo.
Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika.
Kama Mzalendo leo nina hili tu Kwenu.
Umeona nini? Hutaki tule posho.za kulinda?Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo.
Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika.
Kama Mzalendo leo nina hili tu Kwenu.
Naamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.Ongezea nyama kidogo mkuu may b kuna jambo umeliona
Yaani kwa kutaja tu CMI unaonyesha hakuna unachoelewaNaamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.
Naamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.
Watu ambao hawakupitia mafunzo utawajua tu.Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo.
Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika.
Kama Mzalendo leo nina hili tu Kwenu.
Mimi nafahamu kuwa CMI (Chief of Military Intelligence) ni mmoja. Walio chini yake ni Military Intelligence Officers. Sasa hao ma CMI wengi, ni akina nani? Au mimi ndio sielewi kirefu cha CMI?Naamini Watu wa CMI ambao hata hapa JamiiForums tunao ( wapo ) wengi tu watakuwa wameshanielewa hasa kile nilichokilenga na kuwaomba wakifanye.
Ninachoelewa tu kuwa Wewe ni Pumbavu sawa? Kama hujui kuwa Idara ya Ujasusi Jeshini ipo chini ya CMI kwanini GENTAMYCINE nipoteze muda wangu na Mwendawazimu Uliyetukuka kama Wewe?Yaani kwa kutaja tu CMI unaonyesha hakuna unachoelewa
Kwa Akili zako ( zenu ) Ndogo sijashangaa sana kwa Kushangaa Mimi kusema ( kuitaja ) CMI ila najua wenye Akili Kubwa hata kama CMI ni Cheo cha Mkuu wao ila Kuwajumuisha Wote hapo Logically wanajua kuwa sijakosea kwani nimemjumuisha Yeye na Watendaji wake. Nikiwaita Wapumbavu mnanikasirikia.Mimi nafahamu kuwa CMI (Chief of Military Intelligence) ni mmoja. Walio chini yake ni Military Intelligence Officers. Sasa hao ma CMI wengi, ni akina nani? Au mimi ndio sielewi kirefu cha CMI?
Na waliopata Mafunzo ya Kukupa Mimba kila mwaka nao huwa unawajua hivi?Watu ambao hawakupitia mafunzo utawajua tu.
Kamera Tena?huko ulimwengu umeishatoka,sasa tupo kwenye robotics na virtual technology.
Cha muhimu kwanza jeshi liache kuajiri vijana vilaza lichukue vijana wenye division one kutoka kidato Cha sita,na vyuoni wale wenye GPA za juu,sio kupereka vilaza wenye divion three na four
Yaani wewe ni kiazi tu huna unachojua hapo hakuna kitu kinaitwa CMI sababu hujui na mimi sikwambii chochote ndio maana unakuja na maelekezo yako kama unauza hizo CCTV Camera usitegemee waje kuchukua kwako yaani ulivyokua fala unaonyesha umuhimu wa CCTV Camera ukitemea waje kuchukua kwako . Afu kwa akili yako ya darasa la saba b mambo ya taasisi nyeti hivi unategemea wapate ushauri toka kwako ushauri rudi kwenu mbwidu kajifunze kwanzaNinachoelewa tu kuwa Wewe ni Pumbavu sawa? Kama hujui kuwa Idara ya Ujasusi Jeshini ipo chini ya CMI kwanini GENTAMYCINE nipoteze muda wangu na Mwendawazimu Uliyetukuka kama Wewe?
Punguza Kwanza hao Funza waliojazana katika huo Ubongo wako sawa? Na kuonyesha kuwa hili ANGALIZO langu limefika penyewe na Uzi huu umeleta Mrejesho nimepata PM ya Kunipongeza kwa OBSERVATION yangu na nimeshukuriwa kwa UZALENDO wangu Uliotukuka.Yaani wewe ni kiazi tu huna unachojua hapo hakuna kitu kinaitwa CMI sababu hujui na mimi sikwambii chochote ndio maana unakuja na maelekezo yako kama unauza hizo CCTV Camera usitegemee waje kuchukua kwako yaani ulivyokua fala unaonyesha umuhimu wa CCTV Camera ukitemea waje kuchukua kwako . Afu kwa akili yako ya darasa la saba b mambo ya taasisi nyeti hivi unategemea wapate ushauri toka kwako ushauri rudi kwenu mbwidu kajifunze kwanza
Nilitaka nikueleze kwa kirefu ila sababu ni F.ala nakuacha na ujinga wako huu kukupoza genye umeshauriwa hivyo ila ukweli utabaki wewe ni brenda tu kasage wenzioPunguza Kwanza hao Funza waliojazana katika huo Ubongo wako sawa? Na kuonyesha kuwa hili ANGALIZO langu limefika penyewe na Uzi huu umeleta Mrejesho nimepata PM ya Kunipongeza kwa OBSERVATION yangu na nimeshukuriwa kwa UZALENDO wangu Uliotukuka.
Huyo ni JF Comical, asikupotezee muda, ni jingajinga fulani tu kula kulala.Nilitaka nikueleze kwa kirefu ila sababu ni F.ala nakuacha na ujinga wako huu kukupoza genye umeshauriwa hivyo ila ukweli utabaki wewe ni brenda tu kasage wenzio