Nashauri Kenya waache mavazi ya kikoloni mahakamani

Kesi ya Covid-19 tu imewashinda miaka 3 sasa. Mahakama ya Tz ina nini cha kuifundisha Kenya? Ingali kesi kubwa ya Uchaguzi, mawakili zaidi 95 siku 10 tu. Hukumu tiyari.
 
Jaji mkuu aliyepita yule mvaa hereni Willliam alisema siyo lazima, ni choice inaonekana wengi wao wanapenda,iko kisheria siyo lazima kwa siku hizi
 
Sijaona sababu ya wakenya kuvaa mavani ya kikoloni mahakamani.

View attachment 2343487
View attachment 2343744
Sisi wenyewe wabongo tunaendekeza ukoloni.

Dini zetu, imani zetu, Majina yetu, mavazi yetu, elimu yetu et el vyote ni vya wakoloni wetu...

Kitu pekee tulichokienzi waafrika ni uchawi na roho mbaya

Acha kuwasengenya ndugu zetu wakenya wakati sisi wenyewe na waafrika kwa ujumla tunauendekeza ukoloni...

Nenda Afrika kusini uone ndugu zetu wanawafukuza na kuwaua ndugu zao waafrika na kuwaacha wazungu wakila bata kwa raha zao


Tusipomrudia Mungu wetu, tutaendelea kuwa watumwa mpaka mwisho wa dunia....
 
sare za waheshimiwa majaji ni moja ya sare za hovyo sana duniani hapa.[emoji28][emoji28][emoji28]

samahanini lakini watukufu majaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…