Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison.huyu mchezaji ana kera sana.anakera mpaka mwisho.
Jana tena ametonesha kidonda kwa kusababisha faulo na kusababisha goal.tena unamwona kabisa anamwambia Luis nenda kafunge...na Luis anamsikiliza anaachia shut lile utadhani anataka kumuua tembo.
Ni Morrison ndo chanzo. Afungiwe huyu jamaa. Ana akili na mtukutu sana. Hafai kucheza hapa Bongo. goal lake Luis Morrison lirudiwe,lirudiwe sisi wengine hatukuluona lirudiwe.