The CIA
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 479
- 479
Wana jamvi, habarini na poleni kwa majukumu ya kila siku, poleni kwa msongo wa mawazo kutokana na sintofahamu iliyotanda ya kutekwa kwa mkurugenzi wa Melt group mdau mkubwa wa timu ya Simba bwana Mohammed Dewji na pia kwa matokeo mabaya sana timu yetu ya taifa inayoendelea kuyapokea.
Kwa heshima naomba niende moja kwa moja kwenye maada, kiukweli kwa jinsi timu yetu ya mpira wa miguu inavyoendelea ni dhahiri kwamba siyo mimi pekee ninaeumizwa na matokeo mabaya inayoyapata, imefika hatua nimepoteza shauku ya kuitazama hata kuifatilia lakini kulingana na ukweli kwamba team yetu tunaipenda sana baadhi yetu tumejikuta tukijilazimisha kuifatilia na kuitazama inapocheza na hatimae kuishia kuvunjika moyo zaidi.
Kwa kifupi nashauri ivunjwe kabisa,
Tuachane na hawa vijana wa timu za simba, yanga, mbeya city, mtibwa nk
Badala yake tuanzishe team mpya kwa upya zaidi kutoka kikosi chetu cha Serengeti boys na vijana wengine wadogo kutoka mikoa yote kwani vipaji vipo sana tu, bado havijachafuliwa, tukiite taifa stars academy
Kinolewe kwa muda wa miaka 5 mpaka 8 ndo turejee kwenye mashindano kama timu ya taifa itakayotufikisha kombe la dunia na hatimae kutuletea heshima kama taifa,.
Miaka mitano hadi minane siyo mingi kwa watu wavumilivu kama sisi tulioweza kuivumilia timu ya sasa kwa matokeo mabaya namna hii.
Faida moja wapo ya wazo langu
Tutaokoa fedha nyingi inayotumiwa na timu hii ya sasa katika maandalizi na matumizi mengine huku ikiwa haina achievements zozote chanya,
Titarudisha imani ya watanzania kwa timu ya taifa ijayo.
Tutazalisha vijana wazuri wengi wataokaokuwa na demand kubwa kwa timu za ulaya na hatimae kujiongezea kipato kikubwa zaidi,.
NAOMBA MOD USIUCHANGANYE UZI HUU NA ZINGINE ILI UJUMBE UWAFIKIE WALENGWA KWA URAHISI ZAIDI..
We are sick of our hurting current national football team.