Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi.
Binafsi naishauri Mamlaka kuwa mambo ya kijeshi yabaki ni siri ya nchi yetu na siyo kuwaonyesha wageni vifaru vyetu, ndege zetu za kivita nk. Nimeona nitoe ushauri huo na kama ikipendeza basi tuache kuonyesha mambo yetu ya kijeshi katika sherehe za Kitaifa.