Nashauri Musiba apewe PHD ya unafiki. Nimesikitishwa sana na video hii

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Kumbe Musiba alikuwa this critical of Lissu? Yaani how can a man be this petty?

Hapa Musiba alikuwa anajiona ni msaidizi wa Rais na hakuna mtu anaweza kumgusa kwenye nchi hii.

Naomba ninukuu alichokisema kuhusu Lissu kwenye video hii miaka michache nyuma

"Tundu Lissu akienda na sisi tutamfuata huko alipo tutamshughulikia. Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana unamtukanaje Rais hivi? Kwani Tundu Lissu hajui kwamba jogoo hawiki. Mbona hatusemi. Muulizeni jogoo anawika wa Tundu Lissu. Sahivi si hamna kitu huyu? Hivi Tundu Lissu angekuwa Marekani si angekuwa ametupwa baharini huyu?"

Mimi ni mtu nnayeheshimu sana watu wanaoomba msamaha na kujirudi lakini kwa huyu baba hapana. Thisi was toooo much. Ni udhalilishaji wa kiwango kikubwa sana


Your browser is not able to display this video.
 
Welcome to politics
 
Provided ameelewa na kukiri mapungufu yake ya nyuma, huyu tumsamehe bure!

Hakuna mtoto anayeelewa ukali wa moto kwa kufundishwa (kusimuliwa). Ndiyo maana hakuna mtu mzima ambaye hajawahi kuungua moto wakati wa utoto wake, hata kama alionywa kiasi gani kabla ya kuungua!
 
Sema Lissu amepitia mengi sana yule Mzee
 
He is opportunist.
Sikiliza maneno yake vizuri aliyoyaremba na msamaha. Amesema ameshinda kwa kura kiasi fulani. Alisema kuwa ametmiwa idadi ya kura hizo. Lakini hatoi mchanganuo wa wenzake wamepata kura ngapi na jimbo kulikuwa na waandikishwaji wangapi na waliopiga kura ni wangapi.
He is another opportunist.
Halafu waansldishi wa habari wakongwe huwa hawana mwisho mzuri. Wakijitahidi sana ni u DC au u RC
 
Ni mambo ya kawaida tu hayo katika politics. Na usije kuta yeye na Lissu ni marafiki.

Never trust a politician even if he is your dad πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…