Elections 2010 Nashauri nec iwe iwe na uwakilishi wa viongozi wa dini

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
578
Reaction score
144
Tatizo lililoikumba nec achilia mbali kuwa ni wakala wa ccm, pia kuna tatizo la integrity ya hao viongozi. Nashauri hata kukiwa na tume huru iweze kuwa na uwakilishi wa viongozi wa dini katika ngazi mbali mbali.
 
..kwa jinsi udini unavyoshika kasi ni bora viongozi wakidini wasikuwepo ktk meza ya maamuzi.
 
kweli huu ni uhuru wa maoni!dah!some ppl

e...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…