Boxing(masumbwi) na riadha huko tumekua tukifanya vyema historia ni shahidi.
Nadhani mmeona hata hivi majuzi kwa mwakinyo. Katutoa kimasomaso.
Ila kwa Mpira; tutaunguza muda na fedha.
Simba na Yanga ni cancer ya Mpira wetu; ingawa Mimi ni shabiki wa Simba na sitaacha kuisupport Taifa Stars.
Kwa mpira kama ule waliocheza Leo Taifa star ni bora tumefungwa na Losotho na Uko Afcon tusiende kbsa manake tunaenda kua Mbuzi wa bwana kheri na shamba la bwana kheri, tutarudi na aibu kubwa kuliko hii ya Losotho wachezaji hawajitambui pmja na kocha wao HOVYO PLUS HOVYO, kodi yangu inaniuma sana bora hta iyo hela tungeipeleka ikajenga Starndard gage waziri mwenyedhamana nae kutulisha matango pori utafikiri angecheza yeye SHITHOLE NCHIMchezo wowote ule ni uwekezaji hakuna bla bla kwenye mambo ya michezo.
Basi tumeenda Afcon ndiyo na timu ipi hasa? Furaha ni kwenda au kwenda kuwa washindani na si washiriki?
Kwa mpira kama ule waliocheza Leo Taifa star ni bora tumefungwa na Losotho na Uko Afcon tusiende kbsa manake tunaenda kua Mbuzi wa bwana kheri na shamba la bwana kheri, tutarudi na aibu kubwa kuliko hii ya Losotho wachezaji hawajitambui pmja na kocha wao HOVYO PLUS HOVYO, kodi yangu inaniuma sana bora hta iyo hela tungeipeleka ikajenga Starndard gage waziri mwenyedhamana nae kutulisha matango pori utafikiri angecheza yeye SHITHOLE NCHI
Mkuu viatu vya samaki: Tanzania ndo nchi pekee ya kushadadia vitu kwa gharama kubwa hivi wakubwa hawaelewi kua mpira ina mizizi yake cyo kuchukua mijitu imeshaota mavuzi ndo utegemee soka la kiwango! Wakisikia akina Mbape akina Pogba wanajua kua hta sisi tunaweza kua nao kwa miujiza! Badala ya kujenga vyuo na vifaa bora na walimu wenye viwango, saivi cyo kichwa cha mwendawazimu tena tupewe jina jingine TUITWE HTA TWANGA PEPETA inaweza ikatufaa kbsaMimi huwa nina tabia moja.
Huwa silazimishi kitu kiwe kizuri kwangu kwa vile wengine wanakipenda. Mfano nikisikia wimbo unavuma sana kwa watu huwa natulia siutafuti najua ule wimbo utanifuata sio mimi niufuate.
Hii timu siku ikiwa nzuri itanifuata niishabikie sio sasa hivi.
Nilivyoona tu jiwe na Mwakyembe wamejiingiza nikajua gundu tayari. Hiyo michezo uliyotaja ccm wasijihusishe ndio itapata mafanikio.
Chadema wala CCM hazichezi Mpira; ni kawaida tu kutojua Mpira wala si ajabu nashauri tufanye tunayoyaweza rekodi zinaonesha tumepata mafanikio kwenye riadha na boxing.Nilivyoona tu jiwe na Mwakyembe wamejiingiza nikajua gundu tayari. Hiyo michezo uliyotaja ccm wasijihusishe ndio itapata mafanikio.
Katika siku ambazo umeandika cha maana humu ndani basi ndio leo.Boxing(masumbwi) na riadha huko tumekua tukifanya vyema historia ni shahidi.
Nadhani mmeona hata hivi majuzi kwa mwakinyo. Katutoa kimasomaso.
Ila kwa Mpira; tutaunguza muda na fedha.
Simba na Yanga ni cancer ya Mpira wetu; ingawa Mimi ni shabiki wa Simba na sitaacha kuisupport Taifa Stars.
Chadema wala CCM hazichezi Mpira; ni kawaida tu kutojua Mpira wala si ajabu nashauri tufanye tunayoyaweza rekodi zinaonesha tumepata mafanikio kwenye riadha na boxing.
Very sadKabisa mkuu, serikali inatakiwa itenge fedha za bajeti na kuachia vyombo, klabu, academy au mashirikisho ya michezo kufanya utaalamu wao. Serikali iache kuingiza siasa ktk michezo kisa kutafuata kuungwa mkono 'juhudi'.
Kuna mifano mingi ya kusikitisha, unazuia wanariadha wenye viwango bora vya IAAF walio na uwezo kupata medali ktk mashindano makubwa kisa ukiritimba wa kimangi meza :
4 Oct 2018
Shirikisho la riadha Tanzania limelaani kitendo cha kuzuiwa wanariadha wawili kwenda kushiriki kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola
hahahahaa!ili wafidie kodi zetu ee,kocha wao nae ahusikewakirudi waende kubangua korosho.
Hali hiyo pia ipo ktk ligi ya Kuu ya soka Tanzania 2018 / 2019 kukosa wadhamini na pia klabu kongwe za soka Tanzania wadhamini / viongozi wake kusakamwa na serikali.