Nashauri Rwanda iondolewe kwenye kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki

Nashauri Rwanda iondolewe kwenye kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Kagame ni kiongozi kama rais wa urusi, ni mtu anayependa na kujivunia vita.

Jumuiya ya Afrika Mashariki ilifanya makosa makubwa kuiruhusu Rwanda kujiunga nayo.

Sasa ni wakati muafaka wa viongozi wa EAC kuacha unafiki na kuifukuza Rwanda ili tushi kwa amani
 
Subirini mpaka Mpango atakapokuwa Raisi wa pili wa Kihutu.
 
Kagame alisitisha kwa risasi mauaji ya kimbari na kuwatokomeza Interahamwe ambao walikimbilia kwenye mwitu wa DRC.

Ni Shujaa anastahili pongezi kwa hilo Rwanda ibaki kwenye EAC.

Imetuondolea Magaidi pale karibu na Boda yetu Cabo Delgado.
 
Randa na Uganda hasa rwanda inatakiwa isimamishwe uanachama.
 
Hapana sioni hoja kubwa sana ya kumwondoa Rwanda EA, kuna namna tu moja ya kufanya kusudi kupunguza au kumaliza mgogoro uwo baina ya hizo nchi mbili, na nmna iyo ni kuiruhusu Rwanda kuingia Congo na kwenda kuchimba dhahabu km mwekezaji km mataifa mengine ya kimagaribi yanavyofanya.
 
Kagame ni kiongozi kama rais wa urusi, ni mtu anayependa na kujivunia vita.

Jumuiya ya Afrika Mashariki ilifanya makosa makubwa kuiruhusu Rwanda kujiunga nayo.

Sasa ni wakati muafaka wa viongozi wa EAC kuacha unafiki na kuifukuza Rwanda ili tushi kwa amani

Unaharibu mada kwa kumfanisha Putin na vitu vya ajabu
 
Back
Top Bottom