Nashauri Serikali ifanye haya ili wajasiriamali waweze kukua

Nashauri Serikali ifanye haya ili wajasiriamali waweze kukua

Rosed95

New Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
3
Reaction score
0
Napenda kuongelea kuhusu ujasiriamali kwasababu wajasiriamali wamekuwa wengi na Mimi nikiwemo kila mtu anatamani kuinuka kutoka pale alipo kwamfano mtu mwenye mtaji mdogo Kama 50,000 anakuwa anatamani mtaji wake ukue kutokana na kile anachokifanya, lazini kutokana na changamoto mbalimbali anajikuta hata ule mtaji unakufa

☑️Naomba serikali yetu iweze kutoa mikopo yenye mashariti nafuu na Riba ndogo ili tuweze kuinuka kutoka chini.
☑️Pia naiomba Serikali iweze kuwatafutia masoko ya ndani na nje kulingana na bidhaa wanazozitengeneza ili bidhaa zao zijulikane wasiishie kuuza eneo moja
☑️Pia Kuna wale ambao wanahitaji kuwa wajasiriamali Lakini hawana pesa kwaajili ya kupata mafunzo Serikali iweze kuwasaidia waweze kupata mafunzo ya ujasiriamali na iwapatie mitaji ili kupunguza Mambo mbalimbali Kama wizi
 
Back
Top Bottom