Nashauri serikali iutazame uwanja huu Tanzania sio Dar Es salaam pekee

Nashauri serikali iutazame uwanja huu Tanzania sio Dar Es salaam pekee

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Hapa ni Dimba la kisiba Rungwe. Tungekuwa na serikali yenye maono ungejengwa uwanja mzuri sana hapo na hoteli kubwa sana hapo. Tungepata fedha mingi sana. Mpaka sasa hatuna uwanja unaoweza kupiga mpira usiku miaka yote ya uhuru tuliyo nayo.
Karibuni Greencity
nne.png
tatu.png
mbili .png
Screenshot 2023-05-16 100009.png
 
HAPO NI JIRANI NA NYUMBANI KWETU MASOKO.

NI PAZURI MNO.

HUKU DAR ES SALAAM SIJUI TUNAHANGAIKA NA NINI????
 
HAPO NI JIRANI NA NYUMBANI KWETU MASOKO.

NI PAZURI MNO.

HUKU DAR ES SALAAM SIJUI TUNAHANGAIKA NA NINI????
Rudi haraka nyumbani Kumenoga Mkuu. Hapo Kisiba (Kyungululu) ni patamu mno. Nimefika hapo mara 30 zaidi toka nikiwa na miaka 12. Ukijengwa uwanja itakuwa njema sana, maana kutakuwa na fursa ya utalii pia.
 
Kabla ya kujenga uwanja unaangalia kama ukishajenga utarudisha gharama na kuleta faida. Mngeweza kushawishi halmashauri au hata timu ya halmashauri Mbeya city wajenge uwanja kwani halmashauli nyingi zinafanya hivyo ikiwemo halmashauri ya Geita.
 
Back
Top Bottom