Nashauri Serikali Uupe jina hili uwanja wa Mpira wa Dodoma - "ESTADIO TUNDU ANTIPAS LISSU''

Nashauri Serikali Uupe jina hili uwanja wa Mpira wa Dodoma - "ESTADIO TUNDU ANTIPAS LISSU''

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Nianze kwa kusema kuwa, Moja ya Entertainment/burudani wananchi wanayopata ni kufikia msimu wa Uchaguzi, ni msimu ambao tunasisimua mishipa ya raha hasa katika ufuatiliaji wa zoezi la uchaguzi , ikiwemo kampeni, vijembe, upigaji wa kura, utangazaji wa matokeo, ni wakati mzuri ama zaidi kama inavyokuwa msimu wa kombe la dunia .

Sasa Burudani hii ya kufuatilia mtanange wa uchaguzi huwa unakuwa mtamu zaidi pale ambapo kuna kuwa na fair game, angalau tuliona 2010 na 2015, ushindani huwa unaleta hamasa na furaha kwa wananchi, KUKIWA NA UWIZI WA KURA UNAOONGOZWA NA NAPE uchaguzi unakuwa haunogi na unapunguza furaha inayopaswa kuwepo mfano 2020 wananchi hawakupata furaha ya kufuatilia uchaguzi, ni kama kombe la dunia timu inapewa penati muda wote na mpinzani redcard.
Hivyo naomba SAMIA azue uwizi wa kura ili wananchi tupate raha jinsi ushindani unavokuwa,

DODOMA-1.jpg
Pia niende kwenye Mada Serikali sasa inajenga uwanja mkubwa wa mpira wa kimataifa mkoani Dodoma, Kabla Machawa hawajaanza kelele , naiomba serikali kupitia wizara ya Utamaduni na michezo inayoongozwa na Prof. Mwarabu Kabudi Uupe Jina uwanja huu uliopo jiji la Dodoma. Na nina Pendekeza uitwe kwa kiispanyol na tuupe jina la kiongozi mkubwa na mzuri wa Upinzani wa Muda wote , Yaani Uitwe '' ESTADIO TUNDU ANTIPAS LISSU''

image-15.png
Kila mtanzania anajua kuwa Tundu Lissu ni kiongozi bora wa muda wote kutoka chama cha upinzani yaani vijana wanasema GOAT, The greatest Opposition leader ever to occur in Tanzania/Tanganyika akifuatiwa kwa karibu na Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad.

Kwanini Lissu?
  • Ni Mpigania Haki na democrasia
  • Alipona Risasi 16 katika harakati za kupigania haki, anafananishwa na malcom x, na martin kutoka usa
  • Hapokei wala Kutoa rushwa na anaipigania
  • Anaipenda nchi yake Tanganyika
  • Sio Fisadi

Chini Picha mbili za Uwanja , moja ilikuwa ramani ya Hayati Magufuli, na ya Pili ni ya Professor Mwarabu Kabudi.
Pili hivi ikitokea kenya wakaweka picha ya ruto kwenye mitungi ya Gesi halaf upeleke kwa wananchi, je hao waliopeleka wangesalimika
 
Bongo bwana ! Usipocheka umeamua mwenyewe . Na Kwa taarifa yenu huyo anayetangaza habari za mi kuhama Tanzania mwambieni aache . Na niwathibitishie huo ni uzushi ulio dhahiri.
 
Back
Top Bottom