Nashauri sheria hizi zitungwe

normally

Senior Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
194
Reaction score
167
1. Msichana akifikisha miaka 18 alazimshwe kufunga ndoa na ndoa hidumu so chini ya miaka ishirini. Ili tupungeze wadada wanao danga mjini.

2.vijana ambao hawana kazi walazimishwe kufanya kazi za jamiii angalau masaa 4 kwa siku kama za usafishaji mitaa kwani mitaa michafu Sana hasa maaeneo ya dar na menginepo nchini atakaye kaidi afungwe miezi 6.

3. Atakeye chukulia sheria mikononi kamakuchoma watuhumiwa wa uwizi Moto na kupiga vikongwe na yeye afanyiwe hivyo hivyo.

Sheria nyingine zitungwe kwenye nchi hii ya kusadikika na tuwe mfano wakuigwa na nchi Kama Kenya na tz
 
ongeza ingine.
4.Kiongozi yeyote wa umma au siasa akifanya ufisadi apigwe risasi hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…