Nashauri Simba wasiige ushabiki wa kishamba wa Simba hii itafungwaje!"

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Huu ni aina ya ushamba wa kiwango cha juu katika soka kwani hakuna timu isiyofungwa.
Huu ushamba tumewaachia yanga ambao wanatumia njia halali na haramu kulinda kauli mbiu yao hii ya kishamba hadi wengine walikufuru eti wanahitaji malaika wacheze nao kwa vile binadamu wameshindwa.Yanayowakuta sasa ni matokeo ya kiburi na ujinga uliowajaa.

Mashabiki wa Simba acheni kuingia katika ushabiki wa aina hii.Nimeanza kuona baadhi ya kurasa zinaandika huu ujinga eti Simba hii itafungwaje!
 
Shirikisho ni Kombe la mademu wajane aka single mothers , vibonde wanaoneshana kazi huko Lupaso mda huu, penati zimetawala, nyimbo yoyote inanoga tu!!
 
Huu ni aina ya ushamba wa kiwango cha juu katika soka kwani hakuna timu isiyofungwa.
Huu ushamba tumewaachia yanga ambao wanatumia njia halali na haramu kulinda kauli mbiu yao hii ya kishamba hadi wengine walikufuru eti wanahitaji malaika wacheze nao kwa vile binadamu wameshindwa.Yanayowakuta sasa ni matokeo ya kiburi na ujinga uliowajaa.

Mashabiki wa Simba acheni kuingia katika ushabiki wa aina hii.Nimeanza kuona baadhi ya kurasa zinaandika huu ujinga eti Simba hii itafungwaje!
SIMBA ni jasiri muongaza njia hana huo ushamba na ulimbukeni
 
Yaaaàaaangaaaaaaa hii Unaifungajeeeeee?

Itikieni.......Unaifungajeeeeeeee.!

Pacome huyoooo, Aucho huyooooo, Kaiachia halafu Kaiyooomba teeeenaaa!
 
Back
Top Bottom