kama penalty aliyokosa Azizi KiShirikisho ni Kombe la mademu wajane aka single mothers , vibonde wanaoneshana kazi huko Lupaso mda huu, penati zimetawala, nyimbo yoyote inanoga tu!!
Shio shida zetu tatizo ni mgumba kapata mimba anatema mate mji mzimaShirikisho ni Kombe la mademu wajane aka single mothers , vibonde wanaoneshana kazi huko Lupaso mda huu, penati zimetawala, nyimbo yoyote inanoga tu!!
SIMBA ni jasiri muongaza njia hana huo ushamba na ulimbukeniHuu ni aina ya ushamba wa kiwango cha juu katika soka kwani hakuna timu isiyofungwa.
Huu ushamba tumewaachia yanga ambao wanatumia njia halali na haramu kulinda kauli mbiu yao hii ya kishamba hadi wengine walikufuru eti wanahitaji malaika wacheze nao kwa vile binadamu wameshindwa.Yanayowakuta sasa ni matokeo ya kiburi na ujinga uliowajaa.
Mashabiki wa Simba acheni kuingia katika ushabiki wa aina hii.Nimeanza kuona baadhi ya kurasa zinaandika huu ujinga eti Simba hii itafungwaje!