Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
 
Hizo simu anatengeneza nani?
Yani mkorea ajikunje atengeneze simu kali halafu we na Bashungwa mje mumpangie nini aweke na nini asiweke?
 
Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
 
Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
Kiswahili kina faida gani kwa uchumi wa dunia, achani ndoto za mchana
 
Simu katengeneza mswahili?

Tengeneza yako kwanza.
 
Simu zetu zinalugha nyingi mno kasoro tu kiswahili na kiswahili kwa sasa ni moja ya lugha inakuwa sana kwa kasi pia ni moja ya lugha yetu ya mawasiliano sasa mtu akitaka mawasiliano na sisi aje kwa kiswahili ikiwa na shida yake ikiwa sisi ndio tunashida basi tutaenda na kiingereza au kichina au kiharabi
 
Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha

Simu nyingi zina option ya kiswahili

Ila ukiweka kiswahili utajuta maana hutoelewa simu yako kirahisi[emoji23][emoji23]
 
Unabadili kwenda kiswahili then unakutana "sasisha alamisho", unabaki unatoa macho tu hauelewi ndo nini hicho...
 
Back
Top Bottom