Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Wana jf, nimatumaini yangu jukwaa letu pendwa la jf haliwezi kukoswa watu wa takukuru ambao siku hizi ndio kimbilio na mkombozi kwa watanzania wanyonge.
Takukuru nawaomba muwachunguze TCRA na makampuni ya simu yote.
Hii ni kwasababu kumekuwa na wizi mkubwa kwa wateja wanaotumia mitandao ya simu hapa nchini. Nasema makampuni yote ya simu kwa sababu, mtu kama ulikuwa mtandao A. Unataka kwenda mtandao B. Basi utakuta watumiaji wa mtandao B nao wanalia kilio hicho hicho.
Makampuni ya simu yamekuwa na tabia ya kutuibia wadau vitu hivi:
1. Vifurushi vya aina zote
2. Pesa kwenye account
3.makato ya gharama za matumizi yasiyo halali kisheria.
4. Lakini pia makampuni mengine yameondoa huduma ya bule kwa wateja kwa kuwataka watumie mitandao ya kijamii km wattsap, instragram nk.
Hii inamaanisha huwezi kupata huduma bila kuwa na MB au pesa ktk sim yko, nakuondoa haki ya mteja kutumia no.100 bule kupata huduma kwa haraka pindi unapokuwa na shida.
Nawasilisha tafadhali.