olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Tanzania kabla ya muungano ilikua inaitwa Tanganyika na Zanzibar, lakini ni utaratibu wa kawaida nchi kubarisha majina yake kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo hua ni zifuatazo
1.Ideological change ama kubadirika kwa mtazamo wa kisiasa
Tanzania tuliwahi kujitambulisha kama nchi ya kijamaa ,hasa muda ambao jina la nchi yetu lilipokua likipatikana , kwa sasa nchi yetu sio ya kijamaa tena, wananchi na viongozi wote wana ukwasi ambao hauakisi ideology ya kijamaa tena.
2.Mabadiriko ya tamaduni
Nchi yetu ina mabadiriko makubwa sana ya kitamaduni ,kuna identity ambazo miaka hio tuliona ni norms bora sana lakini kwa sasa tumeshaziacha mbali sana, hatuzifuati tena .
Kwa watu wanaofuatilia mambo haya duniani watakubaliana na mimi kuwa kuanzia miaka ya 90 hadi sasa kuna nchi si chini ya 10 zimeshabadirisha majina yao.
Hata kisheria hii hua inamsaada mkubwa sana,wanaotudai tunaweza kukaa nao mezani upya ,tutawaambia mnaidai Tanzania sisi sasa hivi tunaitwa MegaLand