Kama ilivyo ada tunatakiwa tutangaze utalii wetu nje ya nchi yetu na shughuli hii inatakiwa kufanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Taifa ya Utalii.
Jana wakati mchezo wa Leicester dhidi ya Arsernal kwenye uwanja wa Arsenal niliona matangazo yaliyosomeka "Visit Rwanda - the best Country".
Nilijiuliza sana ni nini nafasi ya nchi yetu kwenye suala la kutangaza utalii nchi za nje. Nashauri muige mfano wa nchi ya Rwanda katika kutangaza utalii wetu nchi za nje.