Uchaguzi 2020 Nashauri Teknolojia itumike katika kuendesha uchaguzi wa mwaka huu

Uchaguzi 2020 Nashauri Teknolojia itumike katika kuendesha uchaguzi wa mwaka huu

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Habari ni za saizi,

Ndugu wa Tanzania kutokana na Janga la corona ningeshauri serikali na NEC wachukue maamuz ya kutumia technologia katika kipindi cha uchaguzi.

Technologia ninazo pendekeza ni kama vile Video conference na matumizi ya radio +TV's kufanyia Kampeni.

Mbili ni app maalum ya kupigia kura

Faida zake
Itapunguza gharama za uchaguzi

Itapunguza vurugu za muda huu Mimi nilitakiwa niwe hapa lakini Fulani bado wanafanya kampeni hapa

Inaongeza ufanisi juu ya matokeo yanayopatikana

Inaondoa hofu na malalamiko

Itapunguza adha za huyu hakupiga kura kwa kuwa alikuwa mbali na kituo alichojiandikishia kwa kuwa kila moja atapiga kura ilimradi amejiandikisha.

NB: inawezekana kabisa tukapunguza msongamano kwenye mikutano ya kampeni na Vituo vya kupigia kura.

App zinatengenezwa na vijana wa ndani hapa hapa. Reference ni vyuo vikuu vyetu wanatumia app kupiga kura kwa serikali za wanafunzi.

Tubadilike tuwe na akili
 
Hivi unajuwa Tz watu wanaomiliki simu ni asilimia ngapi ya watz wote walio katika VRR book

Kwasababu watu wanaopiga kura wako vijijini na wanaopiga kura awana smart phone... Mkuu endelea kuota.
Nijuavyo Mimi akiwapo moja mwenye smartphone watapinga kura Hata 30
Anyway tupambane so huwa serikali na mitandao inajisifu imeongeza Wateja wanaotumia internet?
 
Back
Top Bottom