Nashauri TFF watengeneze kombe kwa ajili ya yanga kuwafunga Simba watengeneze kombe kwa ajiri ya Yanga kuwafunga Simba

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kutokana na ukweli kua hakuna Simba bila Yanga na uwepo wa clabu moja ndio chachu ya maendeleo kwa clabu nyingine hasa zenye upinzani kama Simba na Yanga basi ni lazima hivi vilabu vitengenezewe namna ya vyote kua na furaha muda wote ili tuendeeleee kuwa navyo kama vilabu pacha.

Yanga hawajachukua kombe la ligi kuu kwa mwaka wa 4 sasa, na kama ukiwatazama vizuri sajiri zao na mipango ya alafu ukija kuitazama Clabu ya Simba ni wazi kua Yanga Inaweza kukaa miaka mingine zaidi ya mi 4 bila ubingwa.

licha ya kuto kua mabingwa clabu ya Yanga imekua vizuri sana kwenye mechi zao wanapo kutana na mtani wao yani Simba

na hili limekua ni faraja sana kwa clabu hii yenye makazi yake Maeneo ya jangwa hasa kwa mashabiki na viongozi.

Hivyo nashauri mamlaka zenye dhamana kwa maana ya bodi ya ligi na TFF waandae kakombe kadogo dogo kwa ajiri ya Yanga pindi wanapo mfunga mtani wao Simba ili huzuni yao ya kukosa ubingwa muda mrefu ipungue.

Hii itasaidia Yanga kupunguza malalamiko yasio ya lazima kwa waamuzi na kesi zisizo isha kwa wachezaji wa Simba kama Morisson.

Ikimbukwe kumuona mtani anabeba makombe tuu mfululizo kila msimu inauma sana ni busara kujari na kuwasaidia wasio jiweza hasa pale wanapo hitaji ..kwasasa Yanga wana uhitaji ni vyema tuka watazama kwa jicho la huruma.
 
Kikombe cha Yanga msimu huu ni hiki hapa.[emoji116]
images.jpg
 
Kutokana na ukweli kua hakuna Simba bila Yanga na uwepo wa clabu moja ndio chachu ya maendeleo kwa clabu nyingine hasa zenye upinzani kama Simba na Yanga basi ni lazima hivi vilabu vitengenezewe namna ya vyote kua na furaha muda wote ili tuendeeleee kuwa navyo kama vilabu pacha.

Yanga hawajachukua kombe la ligi kuu kwa mwaka wa 4 sasa, na kama ukiwatazama vizuri sajiri zao na mipango ya alafu ukija kuitazama Clabu ya Simba ni wazi kua Yanga Inaweza kukaa miaka mingine zaidi ya mi 4 bila ubingwa.

licha ya kuto kua mabingwa clabu ya Yanga imekua vizuri sana kwenye mechi zao wanapo kutana na mtani wao yani Simba

na hili limekua ni faraja sana kwa clabu hii yenye makazi yake Maeneo ya jangwa hasa kwa mashabiki na viongozi .

Hivyo nashauri mamlaka zenye dhamana kwa maana ya bodi ya ligi na TFF waandae kakombe kadogo dogo kwa ajiri ya Yanga pindi wanapo mfunga mtani wao Simba ili huzuni yao ya kukosa ubingwa muda mrefu ipungue .

Hii itasaidia Yanga kupunguza malalamiko yasio ya lazima kwa waamuzi na kesi zisizo isha kwa wachezaji wa Simba kama Morisson.

Ikimbukwe kumuona mtani anabeba makombe tuu mfululizo kila msimu inauma sana ni busara kujari na kuwasaidia wasio jiweza hasa pale wanapo hitaji ..kwasasa Yanga wana uhitaji ni vyema tuka watazama kwa jicho la huruma.
Naunga mkono hoja na kombe lenyewe hili hapa ndiyo mchango wangu kwa chama langu pendwa la Utopolo
IMG-20210712-WA0003.jpg
 
Kuna kombe liliitwa nani mtani jembe, sijui ilikuaje ikatoweka. Na katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama Yanga iliwahi kushinda kwenye hiyo michuano.
 
Yanga hawakuwahi kushinda hilo kombe ndio maana lilikufa itakua wali susa
 
Simba ndio timu iliyo fungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote inayo shiriki Ligi kuu Tanzania, Yanga ndio timu iliyo chukua vikombe vingi zaidi vilivyo gombewa Ndani ya Tanzania. Yanga hawezi kumuonea wivu Simba kwa kikombe ambacho Yanga amechukua Mara 27.
 
Maelezo meengi!! Kumbe ni hofu tu iliyokujaa ya tarehe 25 mwezi huu! Pole sana. Maana tutawafunga kweli. Hii Yanga ya sasa siyo timu ya mchezo mchezo.

Ikikutana na mbumbumbu, au mnyama yeyote yule mfano PAKA, Simba Jike, nk INACHINJA tu. Haijawahi kuwa na huruma kabisa kwa hizi siku za karibuni.
 
Simba ndio timu iliyo fungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote inayo shiriki Ligi kuu Tanzania, Yanga ndio timu iliyo chukua vikombe vingi zaidi vilivyo gombewa Ndani ya Tanzania. Yanga hawezi kumuonea wivu Simba kwa kikombe ambacho Yanga amechukua Mara 27.
kwa hiyo, so what
 
Mbumbumbu walioshabikia simba ikiwa kwenye hali nzuri hawawezi kujua haya.
 
Back
Top Bottom