Nashauri tiketi za Simba waruhusiwe kuingia nazo kwa Mkapa mechi ya Yanga ili kujaza uwanja bada ya makubaliano

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mpira ni furaha sio uadui

Nashauri tu kama inawezekana Yanga na Simba wakubaliane kama kuna wapenzi wa Simba wanataka kuja kuiona Yanga

Wawaruhusu kwa makubaliano yao maalum watumie tiketi zao walizonunua kwa ajili ya mechi ya Constantines ambayo wamepigwa nyundo kuhudhuria

Mpira siio ushetani. Najua watani walitaman kujazana Jumapili

CAF wamewapenda zaidiii. Wakati sasa wa kuongeza nguvu kwa timu yetu ya Yanga kuishangiliaaaaa

Mungu awatie nguvu umoja n nguvu utengano udhaifu

Kila la kheri Yanga na Simba
 
Walipong'oa viti tuliwaambia wakakataa na sisi leo tunawakataa
#UBAYA-UBWELAA
 
Hapana watakuja kutuletea maugomvi yao watuharibie shuhuli
 
Mpira ni furaha sio uadui

Nashauri tu kama inawezekana Yanga na Simba wakubaliane kama kuna wapenzi wa Simba wanataka kuja kuiona Yanga

Wawaruhusu kwa makubaliano yao maalum watumie tiketi zao walizonunua kwa ajili ya mechi ya Constantines ambayo wamepigwa nyundo kuhudhuria

Mpira siio ushetani. Najua watani walitaman kujazana Jumapili

CAF wamewapenda zaidiii. Wakati sasa wa kuongeza nguvu kwa timu yetu ya Yanga kuishangiliaaaaa

Mungu awatie nguvu umoja n nguvu utengano udhaifu

Kila la kheri Yanga na Simba
Waje kung'oa viti? No way. Wasubiri wazitumie robo fainali yao
 
Back
Top Bottom