LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Mwaka 2015 CHADEMA walipoteza kura nyingi sana kwa kuwa hapakuwa na mawakala serious wa kura za Urais.
Ilikuwa mawakala wako kwa ajili ya wabunge na udiwani. Mara diwani na mbunge akishapata matokeo yake basi mawakala hawakuwa tena serious kufuatilia kura za rais.
Maeneo ambayo CHADEMA haikusimamisha wabunge ndiko zaidi kura zilpotea nyingi kwa vile mawakala hapakuwa na wakala kabisa.
Ushauri CHADEMA mara hii mjipange hata kule NEC iliko wanyima Watanzania haki yao ya kuchagua mbunge na diwani lazima muweke mawakala wa kura za Rais.
Zaidi kule tume ambako ndiko central talking ya kura za Rais kuna takiwa mawakala serious zaidi. Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa NEC kipindi kile alikuwa anataja namba tofauti na zilizokuwa zina ita kwenye screen za tv.
Mara hii kuweni makini sana. Hawa CCM wameshalegea.