Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Sina mengi ila chukua coca moja na beer Guinness smooth mbili, hautajutia kamwe ni raha sana. Wachache watanielewa, sitaongeza nyama tujiongeza kula vizuri kunywa kiasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ushauri tu 2 hadi 4 hutajutaOle wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Isaya 5:22
Guinesi na koka kinywaji chetu kwa wairaq..... upo na mtoto mzuri wa Kimbulu nywele zimeshuka hadi usawa wa kalio, ngozi nyororo mweupe dental formula inasomeka.....Manyara hasa Mbulu, Katesh, Babati nasema asanteni sana naahidi nitarudi!!Sina mengi ila chukua coca moja na beer Guinness smooth mbili, hautajutia kamwe ni raha sana. Wachache watanielewa, sitaongeza nyama tujiongeza kula vizuri kunywa kiasi
Aje atujibuRatio ya kumix ipoje? Nusu kwa Nusu au?
Pondaaa majiii mkuu kufa kwajaGuinesi na koka kinywaji chetu kwa wairaq..... upo na mtoto mzuri wa Kimbulu nywele zimeshuka hadi usawa wa kalio, ngozi nyororo mweupe dental formula inasomeka.....Manyara hasa Mbulu, Katesh, Babati nasema asanteni sana naahidi nitarudi!!
Kawaida sana unajipimia tu hakika utarudi kushukuru, usiogope ratiba zozote utafanya Kwa ufanisi na kiwango Cha juu sana naomba kuwasilishaRatio ya kumix ipoje? Nusu kwa Nusu au?